Shule 124+
Mtandao wa shule za msingi za serikali na binafsi zinazotoa elimu bora bila upendeleo.
Walimu Mahiri
Walimu walioandaliwa vyema kuendana na mabadiliko ya teknolojia na mitaala mipya.
Ufaulu wa PLSE
Mafanikio makubwa katika matokeo ya kitaifa ya darasa la saba kila mwaka.